Sunday, July 17, 2011

VODACOM MISS EXCELLENCE OUT 2011 ILIVYORINDIMA

 Mshindi wa pili wa Vodacom Miss Excellence 2011 Weirungu David akipokea Hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6,030,000 kutoka kwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Afrika Kusini katika shindano lililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
 Miss Excellence aliyemaliza muda wake akimvisha taji Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu.
 
Vodacom Miss Excellence out 2011 akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi, kushoto ni mshindi wa pili Weirungu David na mshindi wa tatu Neema Saimoni.

 Vodacom Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akipunga mkono
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akimpongeza Vodacom Miss Excellence Out 2011 Neema Mtitu
Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Excellence out 2011 waliofanikiwa kuingia katika hatua ya Tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.kutoka kushoto ,Weirungu David,Neema Saimoni,Sophia Chacha, Hadija Madege na Neema Mtitu.
Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 6,030,000 Vodacom Miss Excellence out 2011 Neema Mtitu

No comments: