Saturday, July 16, 2011

WAREMBO WA VODA WAJIFUA  Warembo wanaoshiriki Vodacom Miss Ilala na Kinondoni wakiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja yaliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa mashindano hayo Vodacom Tanzania katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. PICHANI Mmoja wa walimu wa maoezi ya viungo kutoka Gym ya Genesis iliyopo Kijitonyama akitoa mazoezi ya viungo kwa warembo hao.

No comments: