Thursday, October 20, 2011

USALAMA WA NJIA KWA WASHIRIKI WA'VODACOM MWANZA OPEN CYCLE CHALLENGE'

 Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi akiongea na waandishi wa habari wakati wa kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,katikati Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kushoto Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole. 
 Mtaalam wa Afya Usalama na Mazingira wa Vodacom Tanzania Christopher Mosole,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa  kutangaza usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazofanyika  tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza,kushoto Meneja wa Malta Guinness Maurice Njowoka,kulia Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga na Mwanza(KAMWASHI)Bw.Elisha Eliasi wapili kutoka kushoto mara baada ya mkutano wa usalama wa njia/barabara kwa washiriki wa  mbio za baiskeli za “Vodacom Mwanza Open  Cycle Challenge 2011” na wananchi kwa ujumla wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, zitakazotimua vumbi tarehe 22 mwezi huu kuanzia Shinyanga hadi Mwanza.

No comments: