Saturday, July 19, 2008

Watoto wa J.L wanavyokula‘gudi taim’




Inawezekana watoto mapacha wa wanamuziki Jennifer Lopez na mumewe Marc Anthony ndiyo wanaokula raha (good time) zaidi kuliko watoto wa mastaa wengine, Marekani, labda sijui!

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya kompyuta, tangu watoto hao wazaliwe wamekuwa wakiletewa zawadi mbalimbali za thamani ikiwemo kusafiri katika vyombo vya gharama kila wakati kutoka mji mmoja kwenda mwingine na wazazi wana 'enjoi' hali hiyo na wala hawana hiyana na mapaparazi kufotoa picha zao! Ni kama staili fulani ya kujaribu kukata kiu ya media ili wasiwe 'news' tena ili waendelee kuwa huru..!

1 comment:

Anonymous said...

Kaka Abdallah, maisha hayo ya watoto wa JLo huku US ni kawaida tu watu wanaweza ku-afford. Ndo raha ya nchi kuendelea.