Monday, July 16, 2012

BODI YA UTALII YAZINDUA KAMPENI AUSTRALIA

 
Bodi ya Utalii Tanzania, wiki iliyopita ilizindua kampeni ya kutangaza vivutio vya kitalii kwa wageni nchini Australia. Hafla ya uzinduzi huo uliongozwa na Mkurugenzi wa Bodi, Bw. Aloyce Kilua na kuhudhuriwa na balozi wa Japan anayewakilisha pia Australia, New Zealand na Korea Kusini, Mhe Salome Sijaona, ilifanyika katka hoteli ya Novotel mjini Sydney huku wenyeji wa hafla hiyo wakiwa ni  Jumuiya ya Watanzania (NSW) Australia na kusimamiwa na katibu wake, Bw Frank Mtao na Connie Offeh!
 
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Australia Bw Frank Mtao, akiwa na balozi wa Tanzania Japan, Australia/New Zealand na Korea Kusini Mh Salome Sijaona
 
...akiwa n a Balozi wa Utalii Australia Bi. Casta Tungaraza

No comments: