Meli ya Star gate baada ya kupinduka na kuzama ikiwa na watu juu yake wakisubiri kudra ya Mungu kuokolewa!
Hawa wamenusurika kwa kutumia kifaa cha kujiokoa kilichokuwemo ndani ya meli hiyo |
Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam
Majeruhi wa ajali ya Meli wakiwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja wakipata huduma baada ya kuokolewa.
Majeruhi wakiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja
Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika
Abiria waliookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar
Abiria aliyeokoka kutoka katika meli iliyozama
Abiria
aliyookoka katika Meli iliozama ya Star Gate akifarijiwa na Jamaa zake baada ya kuteremka katika Meli iliowaokoa hapo bandarini
1 comment:
Mkuu tupo pamoja, tunashukuru kwa
Post a Comment