Thursday, September 27, 2012

SHY-ROSE BHANJI KIFIMBO JUU KATI YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI NDANI YA CHAMA CHA CCM.

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mh. Shy-Rose Bhanji amefanikiwa kuwa mmoja wa wagombea 10 waliopitishwa kati ya 31 na Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM-NEC kugombea Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM NEC Tanzania bara. Katika kinyang'anyiro hicho Mh. Shy-Rose Bhanji anapambana na baadhi ya mawaziri na viongozi wa juu wa chama hicho.
 

No comments: