Pages
Home
BIG D GENERAL SUPPLIER
.
.
Tuesday, January 21, 2014
KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA LEO
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa
China Word Buz
kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika leo,
kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,
Mfumo huo
hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China, kulia ni
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu kushoto akipokea kipaza sauti kutoka kwa
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda ili kujitambulishwa kwa wafanya biashara hao.
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa
China Word Buz
kwa upande wa Tanzania akiwaelezea na wafanyabiashara wadogo malengo kampuni hiyo katika kuwakomboa wafanya biashara.
Baadhi ya wafanya biashara wakiwa katika semina hiyo
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia majarida yanayoelezea mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.
Uongozi wa kampuni ya China World Buz ukipiga picha ya pamoja na wafanyabiashara hao baada ya kumalizika kwa semina hiyo.
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa
China Word Buz
kwa upande wa Tanzania akizungumza na maofisa wa kampuni hiyo kutoka china.
Wakuu wa Kampuni hiyo wakipiga picha ya pamoja na maofisa wao
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment