Pages
Home
BIG D GENERAL SUPPLIER
.
.
Wednesday, January 22, 2014
SEMINA YA WAFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZIKA LEO TRPLE “A” ARUSHA
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda
akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo,
kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,
Mfumo huo
hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa
China Word Buz
kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa
China Word Buz
kwa upande wa Tanzania
kulia
akiwa
na
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia madsa katika semina hiyo .
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment