Tuesday, February 11, 2014

Ukumbi mpya na Valentine


Karibu usherehekee Siku ya Wapendanao (Valentine's Day) katika chakula cha jioni cha nguvu kwa hisani ya BNN Restaurant na BNN Lounge katika ukumbi mpya wa BNN Convention Hall uliopo Quality Center Nyerere Road huku ukiburudishwa na bendi ya superstar Benga Africa Atomy Sifa kutoka Nairobi, Kenya .Na pia mchekeshaji mahiri Master Mc Pilipili kwa kiingilio cha tsh 60,000/= tu kwa mtu mmoja na 100,000/= kwa wapendanao. Zawadi zitatolewa . Pata ticket yako sasa piga 0713501049  0682602809

No comments: