Sunday, April 6, 2014

WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKUTANISHWA NA TBC LEO


WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi

Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally
Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo


Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitara kushoto ni Muddy Muzungu

Baadhi ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga,Taasisi Masela na  Super Nyamwela wa Extra Bongo 
Mwani Nyangasa kulia akiwa na Richard Mangustino

No comments: