Kwa mara nyengine tena
Mwanamitindo afanyae kazi zake za uanamitindo nchini Marekani Flaviana
Matata amepata deal ya kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya nchini
Italy
Flaviana na wanamitindo wenzie wanatangaza kampeni iyo iliyopewa jina la Modern Tribe
No comments:
Post a Comment