Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama akiupokea ugeni wa Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusin, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere
mwakilishi wa Msama Promotion Nyakwesi Mujaya akimvisha Skafu Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika kusin Rebbeca Malope mara alipotua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere
Mwakilishi wa Msama Promotion Grace Khuni akimkabidhi Uwa mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope akipunga mkono kwa mashabiki pichani hawapo akiwa na mwenyeji wake Kulia amabaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) jioni ya jana tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la miaka 15 ya Tamasha la Pasaka linalofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa Dar es salaam, ambapo Solly Mahlangu mwanamuziki nguli mwingine wa muziki wa injili kutoka nchini humo atawasili leo na kujiunga moja kwa moja na tamasha hilo kushoto ni Mume wa Rebbeca .
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayetambulika kwa jina la Rebbeca Malope akizungumza na vyombo vya habari mara baadaya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam jana jioni .
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jana jioni mara baada ya kumpokea Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope, akifurahia Skafu aliyovishwa na mmoja wa mwakilishi wa Msama Promotion Nyakwesi Mujaya
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope katika picha na wawakilishi wa Msama Promotion kushoto ni Nyakwesi Mujaya na kulia ni Grace Khuni
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayefahamika kwa jina la Rebbeca Malope katika picha na wawakilishi wa Msama Promotion wapili kushoto ni Nyakwesi Mujaya, kulia ni Grace Khuni na wakwanza kushoto ni Mjumbe wa Maandalizi ya kamati ya Pasaka John Melele
PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA.
No comments:
Post a Comment