Sunday, May 24, 2015

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM LEO DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kuahoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo)aption
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendelea kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Picha zote na Bashir Nkoromo) Picha zaidi, tafadhali>BOFYA HAPA

No comments: