Simutv: CHADEMA waendeleza harakati mkoani Mtwara huku wakihamasisha wananchi kushiriki kupiga kura na kutumia shahada zao vema kuchagua viongozi watakao wafaa. http://youtu.be/N-QymE5jdhE
Simutv: Hospitali ya Temeke yapatiwa msaada kufuatia upungufu na vitanda na rasilimali watu kutokana na kuongezeka kwa wagonjwa hospitalini hapo. http://youtu.be/P7kqz71B4ZM
Simutv: Afisa mkaguzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa huduma wa nishati na madini Suleiman Shabani atahadharisha wamiliki wa mafuta kutohodhi nishati hiyo kwa nia ya kuyauza baadae. http://youtu.be/j17Ft_Lo0VM
Simutv: Ushirikiano na maelewano baina ya Tanzania na watu mataifa mengine ndio msingi imara wa kukuza mahusiano ya kibiashara yafahamika katika halfa iliyoandaliwa na shirika la ABITAT. http://youtu.be/rpl0ap9rueo
Simutv: Manispaa ya Ilala yaweka mpango wa majaribio utakao wawezesha wafanya biashara wadogo kufanya biasahra zao bila usumbufu.http://youtu.be/PvJMno36t4c
Simutv: Bunge limepitisha muswada wa sheria kufuta sheria ya Benki ya Posta Tanzania ya mwaka 2015 ili iweze kujiendesha pindi itakapokuwa sheria kamili. http://youtu.be/RKUoZnXQGew
Simutv: Baadhi ya wananchi mkoani Geita waiomba tume ya Taifa ya uchaguzi nchini NEC kuongeza muda wa uandikishaji ili watu wote wenye sifa ya kupiga kura kujiandikisha kupitia BVR. http://youtu.be/Zb-ID1RUanU
HABARI | AZAM TV
Simutv: Jeshi la polisi mkoani wa Pwani lawashikilia watu 18 na kwaajili ya upelelezi kufuatia matukio ya uhalifu. http://youtu.be/6zRIK8Vw0KJ4
Simutv: Mhe.Edward Lowassa amehitimisha safari yake ya kutafuta wadhamini mkoani Morogoro ukiwa ni mkoa wa 31 huku akijinadi kuwa mbadala wa raisJakaya Kikwete. http://youtu.be/vWOwRtbVNT8
Simutv: Mtangaza nia Dk. Hamisi Kigwangala amefika mkoani Mbeya kuzungumza na wadhamini wake akielezea dhana ya ujana katika swala la uteuzi wa mgombea wa urais. http://youtu.be/d_Z6K2Iaotg
Simutv: Manispaa ya mkoa wa Kagera yafanikiwa kuwaandikisha zaidi ya watu million 1 sawa na asilimi 85% ya malengo ya uandikishaji ya wapiga kura huku wakikabiliwa na changamoto ya wahamiaji haramu. http://youtu.be/3AH-9C5s3kE
Simutv: Jeshi la polisi wilayani Mvomero lawashkilia watu 29 katika zoezi la msako wa kuwatafuta watuhumiwa wa tukio la ugaidi.http://youtu.be/VMe7PWJN8ZE
Simutv: Kufutewa kwa leseni kwa wamiliki wa vituo vya mafuta kwa kusitisha kuuza mafuta wakisubiri kupanda kwa bei ya mafuta wavaliwa njuga. http://youtu.be/qCbgfOd5JA8
HABARI |STAR TV
Naibu waziri wa nishati na madini Mhe. Charles Mwijage asema serikali kupitia EWURA yaanza ukaguzi ili kubaini wafanyabiashara wanaosubiri kupanda kwa tozo la kodi. http://youtu.be/hvrahcxwqEY
Simutv: Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya Taifa TANAPA Alllan Kijazi asema kudhibiti ujangili kunahitaji ushirikiano na wa watanzania wote ili kulinda rasilimali ya Taifa kwa ajili ya vizazi vilivyopo na vijavyo. http://youtu.be/rTRHZtqh_do
Simutv: Mgombea urais CCM Luhanga Mpina amesema kujitokeza kwa wagombea wengi wa uraisi ni ishara ya kukua wa demokrasia katika chama hicho. http://youtu.be/n3Io8TvH_fA
Simutv: Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kukamilisha mchakato wa kutangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM idadi kubwa ya watangaza nia yakosolewa. http://youtu.be/RBUZYpxfsfs
Simutv: Serikali ya Tanzania na Zambia zasaini makubaliano ya kulinda ukanda wa misitu ya miombo kudhibiti uvunaji holela wa misitu.http://youtu.be/pZwLaY7cY8Y
HABARI |TBC
Bunge lapitisha muswada wa kufuta sheria ya benki ya Posta Tanzania wa mwaka 2015 ili kuboresha ufanisi wa utendaji wa benki hiyo.http://youtu.be/ewdPkHBPK_0
Wazee na Wanawake wajawazito wilayani Bunda waomba kupewa kipaombele ili waweze kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.http://youtu.be/dABSrBCIJak
Wafugaji kata ya Njoro Kiteto mkoani Manyara watarajia kunufaika na mradi wa lambo kwa matumizi ya mifugo na binadamu lililojengwa kwa gharama ya za milliono 590. http://youtu.be/YTZds9szZoY
Naibu waziri wa maliasili na utalii Mahmood Mugimwa awataka wakuliwa Kigoma kuvuna mazao yao ifikapo Agosti 30 mwaka huu ipi kupisha shughuli za ufugaji nyuki sehemu hizo za hifadhi. http://youtu.be/Nl0-sjD_bqA
Watalii 19 kutoka katika nchi zaidi ya 6 duniani wamekusnya zaidi ya shilling million 800 ili kwa lengo la kuwachangia watoto zaidi ya 2000 wanaoishi katika maeneo yanayozungukwa na migodi. http://youtu.be/Ck3Fl4dM27A
No comments:
Post a Comment