Sunday, June 21, 2015

KILLY - RUDI ( AUDIO & VIDEO ) : Audio : Manecky , Video by Nisher

Wimbo Mpya wa msanii mpya Chini ya Papaa Misifa anaitwa " KILLY " Wimbo unaitwa Rudi. Audio imefanywa chini ya Utayarishaji wa A.M RECORDS Chini ya Senior Producer Manecky Video Imefanywa Chini ya mwongozaji wa Video " NISHER " KILLY - RUDI 
 Kwa mawasiliano na Interview Futa Nambari zifuatazo Management Contact : 0717111476 Papaa Misifa 0754664611 Papaa Misifa For Interview Msanii : 0684817394 Wasiliana nasi kwa Response yoyote juu ya kazi hii

No comments: