Friday, June 26, 2015

KINANA AWALIZA CHADEMA MAGU

 Katibu kuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka maji katika dumu, alipozindua mradi wa maji wa safi na salama katika eneo la Ibadanja, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama Magu mjini, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana akimsikiliza kijana akisoma risala, wakati alipofika kufungua shila la wakereketwa wa CCM waendesha bodaboda, Magu Mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifungua Shina la Wakereketwa wa CCM waendesha bodaboda, Magu mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Mwanza leo
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Magu, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Magu, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Magu Mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisoma kwa makini risala ya Kikundi cha wafyatua matofali kwa teknolojia ya kisasa, nafuu na rahisi, katika eneo na Nyigogo, Magu Mjini, alipofika kukabidhi vifaa vya ufyatuaji matofali akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Athony Dialo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki ufyatuaji matofali, alipofika kukabidhi vufaa vya ufyatuaji matofali kwa kikundi cha kufyatua matofali kwa kutumia teknolojia rahisi na ya kisasa na nafuu katika eneo la Nyigogo, Magu mjini akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoka kukagua nyumba inayojengwa na Umoja wa Vijana wafyatua matofali kwa kutumia teknolojia rahisi na ya kisasa na nafuu katika eneo la Nyigogo, Magu mjini akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdlrahman Kinana akisalimiana na Mzee Maganga Paul (82), alipofika kukagua mradi wa maji safi na salama wa Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu, mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshwa chanzo cha Maji cha mradi wa maji wa Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM akitazama mashine ya kusukuma maji, alipokagua mradi a maji safi na salama wa Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCm na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo.
 Wakazi wa eneo la Nyanguge, wakisubiri kuchota maji, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman kinana alipofika kuzindua mradi wa maji safi na salama katika eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji safi na salama katika eneo la Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akigungua maji, alipofika kuzindua mradi wa maji safi na salama katika eneo la Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Rebeca Maganga, alipozindua maradi wa maji safi na salama katika eneo la Nyanguge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo.

MKUTANO WA HADHARAKISESA, JIMBO LA MAGU
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,kuhutubia mkutano wa hadhara, uliofanyika leo, katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana awakati akihutubia mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 "WANANCHI HAWA WANA AKILI VIONGOZI MSIWADANYANYE WALA KUAHIDI JAMBO AMBALO HAMJAWA NA UWEZO NALO", akisema Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati akihutubia mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.

WANACHAMA WAPYA KUTOKA CHA CHADEMA NA VYAMA VINGINE VYA SIASA WAMIMINIKA KUHAMIA CCM
 Waliokuwa wanachama wa Chadema na vyama vingine vya Siasa kikiwemo ACT, wakimiminika kumkabidhi kadi zao, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuhamasika kuhamia CCM, Katibu Mkuu huyo wa CCM, alipomaliza kuhutubia mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama, katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake wa Chadema Wilaya ya Magu, Juliana Kachiru, akikabidhi kadi na 'magwanda' ya chama hicho kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahan Kinana, baada ya kutangaza kuhamia CCM, katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Mkapa, Kisesa, akiwa katika ziara ya kikagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdlrahman Kinana akionyesha kadi za vyama alizokabidhiwa na kundi la waliokuwa wanachama wa vyama vya Chadema na vinginevya siasa, wakati wa mkutano wake wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa, eneo la Kisesa, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika jimbo la Magu mkoani Mwanza, leo.

Vijana waendesha bodaboda jijini Mwanza, wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipofika leo jioni katika mpaka wa Jimbo la Magu na Mwanza, wakati waliposimamisha msafara wake, akiwa njiani kuingia jijini Mwanza, kuendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza, kesho. Ppicha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo BlogE

No comments: