Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal akizungumza na kutoa salam za rambirambi wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Mzee Kingunge Ngombalemwiru ni mmoja wa washiriki
Sheikh. Imam Mkuu Msikiti wa Ihsani uliopo Temeke Vetenari Nurdin Kishki akizungumza na Viongozi mbalimbali na waumini wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa
Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam kabla ya mwili wake
kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Sehemu ya wanahabari wakipata matukio
Balozi wa Palestine Nchini Tanzania Dkt Nasri Abu Jaish akisalimiana na Rais Mstaafu Mwinyi walipokutana wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa
Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam kabla ya mwili wake
kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Mkuu wa Wilaya Temeke Sofia Mjema akishiriki katika Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa
Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam kabla ya mwili wake
kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiswali Swala ya Alasiri baada ya kusoma Ibada maalumu
No comments:
Post a Comment