Friday, June 19, 2015

NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga .
Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani)
Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments: