DOGO JEMBE AZUNGUMZIA MIKAKATI WA RASILIMALI NA AFYA
Yule mgombea mwenye umri mdogo zaidi ambaye siku za karibuni amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii tangu achukue fomu ameanza kumwaga sera zake ambapo leo anazungumzia kuhusu ambavyo Watanzania wanatakiwa wafaidike na rasimali pia mipango ya kuboresha huduma za afya.
No comments:
Post a Comment