Saturday, July 11, 2015

DSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA

 Meneja wa Fedha wa Multichoice Tanzania, Francis Senguji, miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakipata futari
  akitoa huduma ya chakula kwa watoto yatima hii ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
 Vinywaji mbalimbali vikiwa katika meza kwakila mmoja kujihudumia

 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akitoa huduma ya chakula ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.



 Baadhi ya Watoto yatima wa kituo cha Al-Madina wakipata  chakula katika futari iliyoandaliwa na kampuni ya Multichoice Tanzania.
  Mhudumu wa Kajeve Catering Tausi Mfinanga, akitowa huduma 

 Meneja Mkuu Multichoice Peter Fauel (kulia) na anaye fatia ni  Meneja Uendeshaji  wa kampuni hiyo  Ronald  Shelukindo, wakipata futari wakati wa chakula kwa watoto yatima hii ikiwa ni njia mojawapo ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
 Meneja Masoko Furaha Samalu akijihudumia  kinywaji
 Meneja wa Fedha wa Multichoice Tanzania, Francis Senguji akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kampuni ya Multichoice Tanzania kwa waliofika na kujumuika nao katika futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Multichoice Tanzania, ambapo  Kampuni ya Multichoice wamekuwa wakitowa misaada ya hali na mali  kuhakikisha watoto hao wanaishi maisha mazuri,   kushoto ni Ustadhi wa watoto hao na madrasa ya akina mama mashaka Salim
 Meneja Uhusiano Multichoice Tanzania, Babra Kambogi, akipozi katika picha na mmoja wa watoto hao walioalikwa na Kampuni hiyo kupata Futari (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)

No comments: