Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake
Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdillah Mkeyenge akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona
Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana
Wananchi wakiwa ng'ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyo chomwa moto
Mwana habari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa akiwa katika chumba cha Polisi kilicho chomwa moto na wananchi
Nyaraka zilizoungua
Baadhi ya baiskeli zilizoungua
Omary Mbonde (katikati) ambaye ni mlezi wa mtoto Tabia Mkulukute, akizungumza na wana familia walipokuwa wakipanga taratibu za mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.Mtoto huyo alikuwa akisoma Darasa la 4A Shule ya Msingi Bunju 'A'.Baada ya kutokea ajali hiyo wananchi na wanafunzi walijawa na hasira na kufanya vurugu huku wengine wakilala barabarani na kuchoma kituo cha Polisi moto.Tabia Mkulukute aliyefariki dunia baada ya kugongwa na gari eneo Bunju, Dar es Salaam
Mama mlezi Zainabu Mkulukute katikati akiwa na waombolezaji wakimfariji
Muonekano wa kituo cha Polisi kilivyo chomwa moto
PICHA NA KHAMISI MUSSA(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment