Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Mgeni rasmin na viongozi wengini na wananchi wakipata futari maalumu ilioandaliwa na DTB Tawi la Zanzibar kwa wateja wao kujumuika pamoja iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya serena shangani Zanzibar.
Meneja wa Tawi la Benki ya DTB Ndg Othman Juhudi na Mwenyekiti wa Bodi ya DTB Mahboob Shamsi.
Mkuu wa Idara ya Masoko wa DTB Tanzania Ndg Sylevester Bahati akitowa maelezo ya hafla hiyo ya futari katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. kwa ajili ya Wateja wa DTB Zanzibar hii ikiwa ni mara ya 6 kwa Benki hiyo kujumuika na Wateja wao katika futari maalumu.
Meneja wa Diamond Trust Benk Tawi la Zanzibar Ndg Othman Juhudi akizungumza na Wateja wa DTB na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Diamond Trust Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za Benki yao kwa Watajea wao waliohudhuria hafla maalum ya futari waliowaandalia katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmeid Mazrui akizungumza wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Diamond Trust Tawi la Zanzibar kwa ajili ya Wateja wake iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wao wa Zanzibar wakimskiliza Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.

Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Othman Ame Chum, akisoma dua baada ya kumalizika hafla ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wataje wake Tawi la Zanzibar iliofanyika katika hoteli ya serena Zanzibar.
Meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Mazrui akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Diamond Trust, Mahboob Shamsi wakijumuika na Wateja wa DTB wakiitikia dua ikisomwa na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Unguja Shekh. Othman Ame Chum.
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Wananchi waliohudhuria hafla maalum ya futari ilioandaliwa na DTB kwa Wateja wake Zanzibar wakiitikia dua baada ya hafla hiyo
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar akiwa na Mashekh wa Ofisi ya Kadhi Zanzibar baada ya hafla hiyo ya futari iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Meneja wa DTB Tawi la Zanzibar Othman Juhudi akiagana na Kadhi wa Wilaya ya Magharibi Unguja Shekh. Othma Ame Chum, baada ya kumalizika kwa huduma ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo Zanzibar.
Wafanyakazi wa Benk ya DTB Tawa la Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao baada ya kupata futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya Wateja wake wa Zanzibar katika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment