Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya
Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19,Kitanda namba 28 kwa tatizo la
uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya
Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.
Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa
kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio
mbali, tunaomba misaada yenu kupitia kwa kaka wa Abel Bw.Christopher Machanga kwa namba
Tigo 0655 54
56 67
Airtell 0784 54
56 67
Voda 0755 54
56 67
SHIME WATANZANIA TUJITOE KWA MOYO KUOKOA MAISHA YA MWENZETU NA
KUPUNGUZIA MATESO MAKALI ANAYOKABILIANA NAYO KWA SASA. TUNATANGULIZA SHUKRANI.
No comments:
Post a Comment