Friday, May 6, 2016

KIJANA AKIWA CHINI YA ULINZI

TEMBELEA UJIJIRAHAA BLOG
Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa Askari waliopo eneo la Gengo la Mifugo kumdhibiti kijana huyo mara alipotuhumiwa kuiba Compyuta mpakato na simu ya mkononi na mmoja wa wafanyakazi  jina (jina limehifadhiwa) kushitukia mchezo mchafu uliokua ukifanywa na kijana huyo,  katika  Ofisi ya Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Mifugo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Baadhi ya wafanyakazi wakimuangali jina huyo akiwa ameokolewa na Polisi baada ya kufika katika eneo la tukio
Vitu vilivyokua vimedaiwa kuibiwa na kina huyo


No comments: