Tuesday, June 21, 2016

Hotuba ya Maalim Seif Shariff Hamad + maswali na majibu....Washington DC

Photo Credits: Swahilivilla Blog
June 18, 2016, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif HamaD alifanya mkutano kuzungumza na waTanzania waishio nje ya nchi kupitia wale waishio jijini Washington DC.
Hii ilikuwa sehemu ya shughuli zake alipokuwa katika ziara yake ya siku 14 nchini Marekani na Canada.
Ameeleza mengi kuhusu uchaguzi wa Zanziba, kilichotokea, kilivyotokea na namna wanavyotafuta suluhisho la mgogoro wa kisiasa, kikatiba na kisheria uliopo nchini Zanzibar
Karibu umsikilize
Baada ta hapo, wahudhuriaji walipata nafasi ya kuuliza maswali Karibu uwasikilize

No comments: