Mjumbe wa Kamati ya Mashindano na
Usajili ya Klabu ya Coastal Union,Steven Mguto akiuliza swali wakati wa
kikao cha kamatihiyo kujadili masuala ya usajili na mashindano
kilichoketi juzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya klabu hiyo
Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal
Union,Salim Bawaziri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika kikao hicho
Kamati hiyo inaundwa na wajumbe wengine ambao ni Abdi Masamaki,Salim Bawaziri,Hemed Mbaruku,Hussein Chuse,Abdallah Zuberi “Unenge” na Juma Mgunda ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia mashindano na usajili.
Picha kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano cha timu ya Coastal Union.Kamati hiyo inaundwa na wajumbe wengine ambao ni Abdi Masamaki,Salim Bawaziri,Hemed Mbaruku,Hussein Chuse,Abdallah Zuberi “Unenge” na Juma Mgunda ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia mashindano na usajili.
No comments:
Post a Comment