Mwakilishi
wa Katibu Tawalawa mkoa wa Manyara Bw.Longino Kazimoto (katikati), akifungua
kikao cha pamoja kati ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na wanachama wake wa mkoa
wa Manyara. Mkutano huo ambao uliandaliwa na PSPF katika utaratibu wake wa kukutana
na wanachama wake katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa lengo la kujadiliana namna
bora ya kuboresha huduma na bidhaa ambazo PSPF inazitoa kwa wateja ulifanyika
mjini Babati.
|
Afisa Mfadhiwi wa PSPF mkoa wa Manyara Bw. Said
Ismail, akitoa hotuba wakati wa kikao cha pamoja kati ya PSPF na wanachama wake
wa mkoani Manyara kilichofanyika mjini
Babati. PSPF inautaratibu wa kukutana na
wanachama wake katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa lengo la kujadiliana namna
bora ya kuboresha huduma na bidhaa ambazo PSPF inazitoa kwa wateja.Wengine
pichani ni Mwakilishi wa Katibu Tawalawa mkoa wa Manyara Bw.Longino Kazimoto
(katikati) na na Meneja wa Huduma kwa wateja wa PSPF Bi. Laila Maghimbi<!--[if gte mso 9]>
|
No comments:
Post a Comment