Tuesday, June 21, 2016

TIGO YAKABIDHI KOMPYUTA NA PRINTA KWA JESHI LA POLISI MWANZA




Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akipokea kompyuta na printa kutoka kwa Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano jijini Mwanza jana,kulia ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi,akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(kushoto) jijini Mwanza
jana,baada ya kupokea kompyuta na printa wakati wa hafla ya makabidhiano ,kulia ni Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza ACP Augustino Senga akishuhudia.




No comments: