Tuesday, June 21, 2016

Video: Mkutano wa Maalim Seif Washington DC

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif Hamad, Siku ya Jumamosi June 18, 2016 alifanya mkutano na waTanzania waishio Jijini Washington DC wakati akiwa katika ziara yake ya siku 14 nchini Marekani na Canada.

No comments: