Rais
wa Rwanda Paul Kagame, (wapili kulia) akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe
Magufuli, (wakwanza kulia), akimkabidhi tuzo ya msindi wa kwanza kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na makampuni ya Bima,
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya 40 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam Julai 1, 2016. Wapili kushoto ni Waziri wa Viwanda na
Biashara, Charles Mwijage.
Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele (wakwanza kulia) akiungana na wafanyakazi enzake kusherehekea
tuzo ambayo Mfuko umepata wakati wa uzinduzi wa maonyesho hayo ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
tuzo ambayo Mfuko umepata wakati wa uzinduzi wa maonyesho hayo ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Afisa
wa PPF anayeshughulikia huduma kwa Wanachama Mohammed Siaga,akionyesha tuzo
hiyo
Wafanyakazi wa PPF wakishangilia ushindi huo mbele ya banda lao
No comments:
Post a Comment