Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
Joseph
Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi
kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda la Mfuko huo wakati
wa maonyesho ya 40 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Julai 5, 2016
Afisa
Operesheni Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kitengo cha ulipaji mafao, Murwa
Clara Kihore, (kulia), akiwapa maeelzo wanachama hawa wa PSPF Maafisa wa polisi,
kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha na Mipango Julai 5, 2016
kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha na Mipango Julai 5, 2016
No comments:
Post a Comment