Tuesday, July 5, 2016

TIgo yafana katika maonesho ya sabasaba

Wateja wa Tigo wakipata huduma za Tigo pesa katika banda la tigo  
kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana

Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana

wateja wakiangalia baadhi ya simu zinazouzwa katika banda la kampuni ya simu ya Tigo katika maonesho ya 40 ya sabasaba jana jijini Dar es salaam.

Mmoja wa wateja akipata maelezo kwa mtoa huduma wa Tigo kuhusu simu zinazouzwa katika banda la tigo

  Watoa huduma wa kampuni ya simu za mkononi Tigo wakihudumia wateja waliotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba) jijini Dar Es Salaam jana

No comments: