Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolph Mkenda, (wakwanza
kushoto), akipitia taarifa ya michango yake, wakati alipotembelea banda la PPF
ili kujionea jinsi wafanyakazi wanavyohudumia wananchi na wanachama wanaofika
kutembeela banda hilo kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Adolph Mkenda (kulia),
akimkabidhi kadi ya uanachama mwanachama mpya aliyejiunga na PPF kupitia mfumo
wa Wote Scheme. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio
Afisa Mwendeshaji Mwandamizi, Paulina Msanga, (kulia), akimpatia maelezo mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mfuko
huo kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Slaam
huo kwenye maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Slaam
Wananchi wakipatiwa maelezo na wafanyakazi wa PPF, walipotembelea banda la Mfuko huo
Afisa Masoko Mwandamizi wa PPF, Nelu Mwalugaja (kulia), akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zifanywazo na Mfuko huo, Mwananchi huyu aliyefika na familia yake kwenye banda la PPF
Afisa Huduma kwa Wateja Mwajuma Msina, (kushoto), akimpatia maelezo Mwananchi huyu aliyefika kwenye banda la PPF
<!--[if gte mso 9]>
No comments:
Post a Comment