Siku ya Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner katika ukumbi wa Pakwan uliopo kwenye makutano ya barabara za HW6 na Beechnut . Pata picha za Harusi na Nikka Dinner hapa chini
Bw. Wasia na Bi. Laila siku ya ndoa yao |
Maharusi wakiwa na sura za furaha |
Bw. Wasia na mkewe Bi. Laila |
Bibi Harusi Bi. Laila |
Bw. Wasia |
Bi. Laila |
Bw. Wasia akiwa kaka Said Nassor |
Kaka Mohamed Msika , Bw. Wasia Maya na kaka Said Nassor Maharusi |
Kaka Ally Mjungu akiwa na Bw. Wasia Maya |
Kaka Ally Mjungu , Bw. Wasia Maya na Uncle Shebby Pambwe |
Bwana Wasia akiozeshwa |
The 1st kiss |
NIKKA DINNER
Kaka Ramadhan Machapati, Kaka Kassim Daffa na Kaka Abdul |
Bi. Amina na Bi. Zainab |
No comments:
Post a Comment