WEDDING RECEPTION YA BW. WASIA MAYA NA BI. LAILA KATIKA PICHA
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha zaidi hapa chini.
No comments:
Post a Comment