Thursday, July 6, 2017

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe   wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akifurahia jambo na Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama
LAPF kulia  katikati ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe na kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa mfuko huo.


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda hilo kutoka kulia ni Rehema Mkamba Afisa Mawasiliano Mwandamizi LAPF na wa pili ni Varerian Mablanketi Mkrugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga, Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakijadiliana mambo kadhaa huku wakifuatilia huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wafanyakazi wa mfuko katika banda hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.

Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.

Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.


PICHA KWA HISANI YA FULLSHANGWE BLOG

No comments: