Msanii Ali Kiba akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya City Pub jjjini Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi.
|
| Ommy dimpoz akiimba pamoja na mashabiki zake katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi. |
| Benpol akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi. |
| Wasanii Jux, Nandy,Maua Sama na Ben Pol kwa pamoja wakiwa kwenye jukwaa la Tigo fiesta lililofanyika viwanja vya City Pub jijini Mbeya usiku wa kuamkia jumamosi. |
| Vanesa Mdee akiwa katika Jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Mbeya |
No comments:
Post a Comment