Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja Shenzhen nchini China, walipokwenda kutembelea kampuni ya Huwawei na kuijionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo ikwemo utekelezaji wa mradi wa elimu wa Smart Education na e-Education unaotekelezwa katika shule ya msingi Baogang iliyopo nchini humona hivyo kukabiliana na tatizo la uhaba walimu.mpango huo pia wanatarajia kuuleta hapa nchini ili kuweza kuboresha sekta ya elimu.(Na mpiga picha Wetu).
No comments:
Post a Comment