Waandishi wa habari kutoka vyombo 
mbalimbali mkoani Tanga wakiingia kwenye hifadhi ya mamlaka ya 
Ngorongoro tayari kuanza ziara ya siku kumi ya mafunzo 
 Waandishi wa Habari Mkoani Tanga 
wakiwa kwenye hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa 
ziara ya siku tano kwa ajili ya ziara ya mafunzo kutembelea vivutio vya 
utalii kulia ni Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la TBC 
,Bertha Mwambela ambaye ni mratibu wa ziara hiyo kushoto ni Mbonea Herman wa Kituo cha Star TV kulia ni
,Bertha Mwambela ambaye ni mratibu wa ziara hiyo kushoto ni Mbonea Herman wa Kituo cha Star TV kulia ni
 Mratibu wa ziara ya waandishi wa 
habari mkoani Tanga waliotembelea hifadhi ya Mamlaka ya 
Ngorongoro,Bertha Mwambele kutoka Shirika la Utangazaji la Tanzania 
(TBC) wakiingia ndani ya mamlaka hiyo kulia ni Sussan Uhinga mwandishi 
wa gazeti la Mtanzania mkoan Tanga  kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka
 hiyo,Samweli Nsyuka 
 Mratibu wa ziara ya Waandishi wa 
Habari mkoani Tanga ambaye ni Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la TBC 
Bertha Mwambele akiwa kwenye picha eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya 
Ngorongoro mara baada ya kuwasili kwa ajili ya mafunzo ya siku kumi 
ikiwemo kutembelea hifadhi hiyo.
| Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Ngorongoro,Walter Mairo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya hifadhi wakati wa ziara yao ya siku kumi | 
 Waandishi wa habari wakipata kifungua kinywa kabla ya kuanza ziara ya mafunzo ya siku kumi
 Mwandishi wa Kituo cha Tanga TV 
cha Jijini Tanga,Abraham Alex akiwa kwenye eneo la mchanga ambalo 
umekuwa ukihama mara kwa mara 
 Afisa Uhusiano wa Mamlaka 
hiyo,Samweli Nsyuka akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya 
kutembelea eneo la mchanga ambalo limekuwa likihama mara kwa mara 
 Waandishi wa habari,Mbaruku 
Yusuph wa gazeti la Tanzania Daima na Mbonea Hermani wa Star TV 
wakiangalia eneo la ambalo limegunduliwa fuvu la binadamu wa kwanza 
wakati wa ziara hiyo
 Jumba la Makumbusho ya Mambo ya Kale ambalo lipo eneo la Mamlaka ya Ngorongoro Mkoani Arusha
Afisa Uhusiano wa Mamlaka 
hiyo,Samweli Nsyuka kulia akitoa maelekezo kwa waandishi wa habari mara 
baada ya kutembelea Jumba hilo la Makumbusho 
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha 
No comments:
Post a Comment