Sunday, August 5, 2007

BIG BROTHER AFRICA II LIVE LAUNCH!

TUNAWAKILISHAA....! Miss Africa 2005/6 - Nancy Sumary (kulia), sister 'ake Naakaya Sumary na Miss Tanzania namba2, 2006/7 Jokate Mwegelo wakiwakilisha kwenye uzinduzi wa BBA2 uliofanyika Sea Clif Hotel usiku wa kuamkia leo. Mtanzania Richard nd'o mwakilishi wa Bongo ndani ya jumba hilo watakalo kaa kwa siku 98! Richard ana demu wa kizungu, aliagana nae kwa kupeana denda la nguvu kabla ya kujitoma ndani... ambako nako kuna watoto wakali 6..kaazi kweli kweli!Karibuni jamanni eh..! Meneja Mkuu, MultiChoice Tanzania, Peter Fauel, aki-lounchi' rasmi BA2 usiku wa kumakia leo, Sea Clif Hotel
Mtu na Boss wake...hahaa! Lucy Kiwhele (kulia) na Peter Fauel, ambaye ni Meneja Mkuu mpya wa MultChoice Tanzania, wamiliki wa mtandao wa DSTV itakayokuwa ikionesha BBA kupitia Channel 37, @$ 24 hrs a day... whooo!
Meneja uhusiano wa Multichoice Tanzania, Lucy Kiwhele (kulia), akimkaribisha kansela wa ubalozi wa Afrika Kusini nchini, Bw. Mditshwa, kusema machache kuhusu BBA.., asante sana!
Boss wa Africa Media Group (wamiliki wa Channel Ten, Magic FM, DTV) Franco Tamontana (Kati) akiwa na Meneja Mkuu wa MultiChopice Tanzania, Peter Fauel, kwenye 'lounchi' ya BBA2Tupo pamoja: mdau na 'engine' ya Kamati ya Miss Tanzania, Makoye (kushoto), ndani ya Sea Clif kwenye uzinduzi wa BBA2 usiku wa kumakia leo
Kansela wa Ubalozi wa Afrika Kusini, Bw. Victor Mditshwa (kushoto) akiteta na Menaja Mkuu wa MultiChoice Tanzania, Peter Fauel, wakati wa uzinduzi wa BBA2 usiku wa kuamkia leo
Haa ngoja nikae uzuri....! Resty Ngonyani (kulia) Sales & Marketing Manager wa Africa Media Group, akiwa na mfanyakazi mwenzake Prosper, wote hawa ni 'vigogo' wa Channel Ten, Magic Fm, C2C na DTV!
'Big guy.'..... Mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi ya warembo nchini, Hassanal 'the big guy' nae alikuwepo

1 comment:

Anonymous said...

Hi Resty! Nakukumbuka ulikuwa classmate Msalato High school Dodoma kidato cha tano HGL 1989 - 1991. Unawakumbuka wakina Ena Mwabange, Mary Mihambo, Jenifa Sintala, Rose Kazimoto, Suzy Kabogo na wengineo wa bweni la Mandela na Moringe! Inafurahisha!