Friday, October 5, 2007

KABURI!

Hili ndilo kaburi alimozikwa marehemu Slim Hamis Slim (Mzee Slim) ambaye alikuwa mmiliki wa ukumbi maarufu wa burudani wilayani Temeke jijini Dar es salaam, EQUATOR GRILL. Jana alitimiza mwaka mmoja tangu kufariki dunia na kulikuwa na dua maalum ya kumuombea.
Juma Mbizo (kati), ambaye ni mdau mkubwa wa masuala ya muziki wa Taarabu Bongo akiwa na wadau wenzake wakati wa dua maalum ya kumuombea marehemu Mzee Slim

No comments: