Friday, October 5, 2007

BONG DARISALAAM!

Teenagers: Mvulana anakadiriwa kuwa under 17 na msichana under 16..lakini wameshavishana pete ya uchumba...ilikuwa MK Club Kinondoni tena mbele ya mzazi wa mvulana..kwa bara ka zote..hii nd'o Bongo Darisalaam!
Maarufu kama mama Tedy, lakini jina lake ni Asha Mbaraka, ni msanii wa michezo ya kuigiza ambaye kwa sasa kaingia 'mafichoni'. Ndiye mama wa huyo kijana anayekula denda baada ya kumvisha pete ya uchumba 'mtoto' mwenzie.. Bongo Darisalaam!!
Mrembo anayeangalia simu ya kiganjani ndiye Teddy mwenyewe ambaye kama mama yake, alikuwa akionekana kwenye luninga za Bongo kwenye tamthilia za ITV...siku hizi kimya!

2 comments:

Anonymous said...

upuuzi mtupu

Anonymous said...

Big upuuzi.
Huko ndo kule kujifanya "sisi familia yetu tume'adopt uzunguX2 bwana" hakuna chochote.
Inasikitisha sana kuona Mama mtu mzima tena aki'present sura moja ya busara sana kwenye photo hiyo hapo ana'prove U'none sense" kama huo.
Sijui tunaelekea wapi?