Sunday, February 10, 2008

MAWAZIRI WAKUU WATIMIA 10!

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere
Mzee Rashid Mfaume Kawawa
Hayati Edward Moringe Sokoine
Mzee Joseph Sinde Warioba
Mzee John Samuel Malecela
Frederick Sumaye
Mh. Edward Ngoyai Lowassa
Waziri Mkuu mpya Mizengo Kayanda Pinda
Wengine (Hawapo pichani) walikuwa ni Salim Ahmed Salim aliyemridhi Hayati Sokoine na David Cleopa Msuya aliyemrithi John Malecela..kazi kwake Pinda kunyoosha yaliyopinda!

1 comment:

Anonymous said...

Picha mbili zinamis hapo.
1. Cleopa David Msuya
2. Salim Ahmed Salim