Friday, August 29, 2008

MISS TANZANIA 2008

Miss Tanzania 2008, Nasreem Karim..the origional!!!

5 comments:

Anonymous said...

Du !!! kumbe MAKE-UP zinadanganya??? kumbe ndio ulivyo Miss... mhh!! siongei

Anonymous said...

Kazuri mashallah, watu wanamtoa kasoro bure, binadamu hawana jema hawakosi lakusema

Anonymous said...

mbona kachoka hivyooo

Anonymous said...

Kidoogoo suruali imekuwa njiwa. Fasheni hiyo inatakiwa ipitilize hadi kwenye kisigino cha kiatu ulichovaa. ila u-mrembo!

Anonymous said...

kweli sema mdau namba 3, sio kama binadamu hatuna jema penye ukweli lazima tuseme, pia amechoka uso au ametoka MATENITY muda si mrefu?

viwanda vya kutengeneza MAKE-UP vikifunga uzalishaji wengi DILI hakuna tena,