Wednesday, September 3, 2008

NDANDA KOSOVO!

Mzee wa jela jela, Ndanda Kosovo..ulivuma na kutamba sana..kimya kimezidi..mziki umekushinda? kulikoni?

2 comments:

Anonymous said...

Kwisha abari yake huyo angekuwa mjanja angerudi na vifaa vya bendi kwani hata used angeweza kupata marekani .

Anonymous said...

huyo ndanda kafulia maana ni mwizi aje atuibie wanaume wenzie tumwonyeshe kazi,bahati mbaya anatapeli mademu kuna demu alimstukia mapema akaona analiwa akamfukuza ni mwizi ndanda,ndio maana mungu anamlaani