Monday, December 29, 2008

MSIBA!


Eunice Makundi (47) amefariki dunia Tarehe 27 na kuzikwa Jumatatu Desemba 29, 2008 katika makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam. Taarifa hii inatolewa kwa wale ambao hawakuwa na taarifa lakini walikuwa wakimfahamau marehemu, hasa wale waliowahi kufanyanae kazi K. J. MOTORS LTD miaka ya 80 na 90 ambako alikuwa Secretary -Accounts Department. Kwa mujibu wa historia yake, marehemu alikuwa akisumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu na ameacha watoto 3 wa kike, wa kwanza akiwa ni Haika (pichani kushoto)...Mungu ailaze roho yake peponi-Amin!

2 comments:

Anonymous said...

May her soul rest in peace

Unknown said...

R.I.P mama haika