Double G & Ben Kinyaiya
Godwin Gondwe (kushoto), ambaye ni mtangazaji wa ITV/Radio One na Ben Kinyaiya leo nao walikuwa miongoni mwa watu walioshiriki maziko ya Bi. Anne Willium Mallu aliyekuwa mfanyakazi wa wa miaka mingi wa SIDO aliyezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment