Saturday, May 15, 2010

VIVUTIO VYA KILI AWARDS 2010!

Mange..alikuwa kivutio kwa kivazi chake na hali aliyonayo!
..kivazi na mapozi ya Maunda Zorro
..hugging with daddy
..brother's trophy!
..kivazi matata!

5 comments:

Nonino said...

huyu mange mpaka apate tatizo ndo atajua anaigiza wazungu sijui yukoje na akielezwa ni mkali na jeuri..anapenda viatu vya ncha vinguo vya kubana ati anaigiza watu wa majuu..haya tunamuombea kheri na afya njema...na azae kwa salama...mana hiyo mimba kila mtu anaisema kwa ubaya ILA MUNGU ATAMLINDA NA ATAZAA SALAMA.

Anonymous said...

nafikiri ni utoto.

Anonymous said...

hivi maunda zorro hicho kivazi mbele ya baba yake ndio uzungu jamani acheni kuiga tamaduni zawatu ndiyo maana zambi zimezidi mtoto anatembea uchi mbele ya baba yake hii ni laana wala sio maendeleo mmezidi kuiga hata ambavyo havifai kuiga jamani tuzamini utamaduni wetu nakuuitukuza mbona wao wazungu hawaigi tamaduni zetu mzarau kwao ni mtumwa

Anonymous said...

Wakulaumiwa si maunda, bali ni Baba yake. Yeye ndio aliyemzaa na kumlea Maunda.Hivyo alivyo ndio Baba alivyomuandaa na ndivyo anavyopenda mwanae aonekanee mbele yake na mbele ya macho ya wengine. Usishangae hata ukisikia kesho kuwa Baba ajilia vyake.

Anonymous said...

Maunda is over 18.
Ana haki ya kufanya atakalo, after all it's her life. alichokosea ni kwa sababu yeye ni msanii anatakiwa awe mfano wa kuigwa basi!! na mavazi yana maeneo yake.