Sunday, August 29, 2010

JK AZIDI KUPASUA ANGA, AVUTA MAELFU YA WATU!

....akiwasili Mpanda mjini jana kwa mkutano na wana CCM
Pichani anaonekana akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Sumbawanga mjini Bw. Hayeshi

gombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jakaya Mrisho Kikwete, yu ngali ziarani katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara ambapo jana aliiteka mikoa ya Mpanda na Sumbawanga.

No comments: